- 17,142 viewsDuration: 5:13Hulka na Silka ya Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki imebadilika pakubwa kutoka kuwa msomi mpole hadi kuwa mwanasiasa mwenye hima. Ni mabadiliko ambayo yanakisiwa na wadadisi wa siasa kama yanayostahiki wadhifa wake kama naibu rais. Wanahistoria wa masuala ya urais wanahoji kuwa naibu rais, hana budi kuwa mwaminifu na wa kutegemewa na Rais.