22 Dec 2025 1:09 pm | Citizen TV 10,068 views Duration: 1:39 Polisi walitumia vitoa machozi kuwatawanya baadhi ya waandamanaji wa waathiriwa wa maandamano ya Gen Zs pamoja na wanaharakati wa haki za binadam jijini Nairobi.