- 8,909 viewsDuration: 2:47Uhaba wa magari ya usafiri wa umma unashuhudiwa jijini Nairobi, huku wakazi wengi wakikosa namna ya kusafiri kuelekea vijijini kwa sherehe za sikukuu ya krismasi na mwaka mpya. Aidha wasafiri waliobahatika kupata magari wanalalamikia kupanda kwa nauli.