- 3,166 viewsDuration: 2:50Mwanafunzi wa gredi ya sita katika Kijiji cha Lare, kaunti ya Nakuru amepatikana ameuwawa na mwili wake kutupwa kwenye shamba la mahindi. Kulingana na wakaazi, mtoto huyo Mercy Mureithi aliondoka nyumbani jumatatu kuelekea shuleni ila hakurejea jioni. Na kama Maryanne Nyambura anavyoarifu, chifu wa eneo la Lare amesema kuwa mtoto huyo alinyongwa na kunyofolewa jicho la upande wa kushoto