Skip to main content
Skip to main content

Huzuni Utumishi Academy Gilgil baada ya mkasa wa moto

  • | Citizen TV
    9,597 views
    Duration: 2:39
    Yalikuwa majonzi, wasiwasi na huzuni katika kuta za shule ya wasichana ya Utumishi Academy, Gilgil, kufuatia mkasa wa moto uliosababisha kujeruhiwa kwa zaidi ya wanafunzi sabini. Baadhi ya wazazi walionekana kushindwa kuhimili machungu na hofu ya hatma ya watoto wao, wakisubiri kwa wasiwasi taarifa rasmi kuhusu hali zao.