- 1,286 viewsDuration: 1:55Ibada ya Pili ya Wafu ya kumuomboleza Mbunge wa zamani wa Lugari Cyrus Jirongo imeandaliwa hii leo huko Maili Saba Kaunti ya Trans Nzoia. Baadaye mwili wake ukisafirishwa hadi Nyumbani Kwao huko Lumakanda ambako mwili wake utasalia usiku kucha kabla ya mazishi yake kuandaliwa hapo kesho. Jamaa na Familia wamemuomboleza kama Baba aliyeiweka Familia yake kwanza nyakati zote.