Skip to main content
Skip to main content

Ibada ya wafu ya marehemu aliyekuwa mbunge wa Kilgoris Gideon Konchellah yafanyika Jijini Nairobi

  • | Citizen TV
    1,118 views
    Duration: 2:41
    Marehemu aliyekuwa mbunge wa Kilgoris Gideon Konchellah aombolezwa na familia na marafiki Kama baba aliyeifaa familia yake kwa raha na dhiki pamoja na kutoa mwongozo bora wa elimu na maisha kwa jamii. Jamaa na marafiki wajumuika kwa Ibada ya Wafu iliyofanyika katika kanisa la Nairobi Baptist jijini Nairobi.Konchellah atazikwa nyumbani kwake huko Narok