- 14,544 viewsDuration: 5:30Ibada ya wafu ya wasichana 15 waliofariki kwenye mkasa wa moto katika Shule ya Wasichana ya Utumishi imefanyika hii leo katika uwanja wa mchezo wa Gilgil kaunti ya Nakuru huku naibu mkuu wa polisi Eliud Lagat akiwahakikishia wazazi waliofiwa kuwa watapata haki kwa kuwapoteza wanao. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya