18 Aug 2026 10:26 am | Citizen TV 360 views Duration: 1:09 Wakazi katika eneo la Wajir Kaskazini watakiwa kujitokeza kwa wingi na kujisajili kama wapiga kura huku mwanasiasa Abdullah Sajo akisisitiza umuhimu wa kuwa na idadi kubwa ya wapiga kura kuelekea Uchaguzi mkuu wa 2027.