3 Jun 2026 10:13 am | Citizen TV 361 views Duration: 1:56 Ukosefu wa sodo miongoni mwa wasichana wa shule watajwa kuchangia pakubwa visa vya mimba za utotoni katika Kaunti ya Kwale huku asilimia 16 ya mimba za wasichana walio chini miaka 18 zaripotiwa kaunti hiyo.