- 648 viewsDuration: 1:51idara ya huduma za marekebisho yapokea mchango wa magodoro 980 kutoka ofisi ya naibu raisi katika juhudi za kuboresha hali ya maisha ya wafungwa. Mchango huo unalenga kuimarisha haki za binadamu, kuboresha viwango vya afya na ustawi wa wafungwa katika magereza mbalimbali nchini.