4 Sep 2025 10:47 am | Citizen TV 343 views Duration: 1:57 Idara ya mahakama pamoja na huduma za magereza wameshirikiana kwenye zoezi la kupunguza msongamano ya wafungwa katika magereza nchini ili kurejesha heshima na haki kwa wafungwa hao.