Skip to main content
Skip to main content

Idara ya utabiri wa Hali ya Hewa nchini yathibitisha kuwa El Niño imeshaanza kushika kasi

  • | NTV Video
    3,770 views
    Duration: 3:03
    Idara ya utabiri wa Hali ya Hewa nchini, imethibitisha kuwa El Niño imeshaanza kushika kasi na inatarajiwa kuimarika zaidi, huku mvua za juu ya wastani zikitarajiwa katika maeneo mengi ya nchi kati ya Oktoba na Disemba. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya