Skip to main content
Skip to main content

IEBC imeshauriwa kutumia michezo kuwavutia vijana Kwale

  • | Citizen TV
    178 views
    Duration: 1:18
    Tume ya uchaguzi na mipaka imeshauriwa kutumia baadhi ya michezo na vikao vya vijana ili kujiandikisha kama wapiga kura. Wakiongea huko mwangoloto katika mkuu wa wafanyakazi kaunti ya kwale pamoja joshua mdoe na kiongozi wa vijana Idd munuphe wamesema hafla za michezo inawavutia vijana wengi na kuiomba tume ya uchaguzi kutumi vikao hivyo kuwafikia vijana. Ikiwa imesalia siku chache kwa zoezi hilo kukamilika wadau pia wametaka vijana kutumia siku zilizosalia kujiandikisha ili kushiriki uchaguzi mkuu ujao.