- 2,577 viewsDuration: 57sTume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imeagizwa kutangaza upya zabuni ya teknolojia baada ya kampuni ya Galadirel kuwasilisha malalamishi. Bodi ya Umma ya Ukaguzi wa Ununuzi (PPARB) imesema zabuni hiyo inapaswa kutangazwa upya, huku IEBC ikisema itakata rufaa dhidi ya agizo hilo.