Skip to main content
Skip to main content

IEBC yajitayarisha kwa uchaguzi mdogo wa Emurua Dikirr

  • | Citizen TV
    1,081 views
    Duration: 3:21
    Tume ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC inasema iko tayari kwa uchaguzi mdogo wa eneobunge la Emurua Dikirr na wodi zengine mbili. Masanduku na karatasi za kupigia Kura zimeendelea Kusafirishwa katika vituo mbalimbali vya kupigia kura katika eneo Bunge la Emurrua Dikkir, kabla ya wakaazi kuanza kupiga kura kumchagua mbunge wao mpya hapo kesho. Wagombea watano wanamenyana Kumrithi Marehemu Mbunge Johanna Ngeno aliyefariki kwenye ajali ya ndege Februari Mwaka huu.