Skip to main content
Skip to main content

IEBC yaonya kuhusu magenge ya wahuni yanayoweza kuhatarisha uchaguzi wa amani

  • | Citizen TV
    349 views
    Duration: 1:51
    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imeonya kuhusu kuibuka kwa magenge ya wahuni yanayoweza kuhatarisha uchaguzi wa amani nchini iwapo hatua za haraka hazitachukuliwa. Wakizungumza katika Kongamano la Jukwaa la Wasomi, maafisa wa IEBC wamezitaka taasisi za usalama kuchukua hatua madhubuti dhidi ya magenge hayo kabla ya uchaguzi mkuu ujao.