Skip to main content
Skip to main content

IEBC yawataka vijana kujitokeza kwa wingi

  • | Citizen TV
    992 views
    Duration: 3:15
    Tume ya uchaguzi IEBC imeendelea mchakato wa usajili wa wapiga kura, ikiwataka vijana kujitokeza kwa wingi. Mwenyekiti wa tume hiyo, Erastus Ethekon, akipingwa kauli ya upinzani kuwa wanasiasa hawa fai kuhusishwa katika zoezi hili. Wakizungumza huko Mombasa, makamishna wa IEBC pia wametaka serikali kuhakikisha vitambulisho vimewafikia vijana kabla ya zoezi hili kukamilika.