Skip to main content
Skip to main content

IEBC yawataka wanasiasa kukoma kufadhili wahuni

  • | Citizen TV
    458 views
    Duration: 3:12
    Tume ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) sasa imewataka wanasiasa kukoma kuwafadhili wahuni wanaovuruga amani kwenye mikutano ya kisiasa. Kamishna wa IEBC Dkt. Alutalala Mukhwana amesema wanasiasa ndio huchochea na kuwafadhili wahuni hao. Na kama anavyoarifu Emmanuel Too, IEBC inasema ina upungufu wa zaidi ya shilingi bilioni 30 kuandaa uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.