Kadri Sikukuu ya mwaka mpya wa Kichina inavyokaribia, kampeni za kukumbatia mila za jadi, utamaduni na utalii zinazidi kushika kasi zikitia ladha shamrashamra za sherehe hizo. Taifa hilo linajiandaa kukaribisha mwaka wa Farasi. Mengi zaidi ni kwenye makala ya Ifahamu China
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive