Skip to main content
Skip to main content

IG Kanja na DCI Amin wafika mahakamani kuhusu vijana waliopotea

  • | Citizen TV
    8,258 views
    Duration: 3:15
    Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja na Mkurugenzi wa DCI Mohamed Amin leo walifika mahakamani kujibu maswali kuhusu kutoweka kwa vijana watatu jijini Nairobi. Wawili hao hawakuzungumza mahakamani baada ya Jaji Alexander Muteti kuwaruhusu kuondoka, akisema watahitajika kurejea watakapohitajika. Kesi hiyo iliendelea huku wazazi wa vijana hao wakitoa ushahidi wao mahakamani. Gatete Njoroge anaripoti.