Skip to main content
Skip to main content

IGAD yakamilisha mafunzo ya uongozi ya awamu ya pili

  • | Citizen TV
    125 views
    Duration: 1:38
    Mafunzo ya siku nne ya maendeleo ya uongozi ya kundi la pili katika chuo cha mafunzo ya wafanyakazi wa serikali yamekamilika. Mafunzo ya chuo cha uongozi cha IGAD kwa ushirikiano na serikali ya japan yanawaleta pamoja viongozi vijana ambao ni wanachama wa IGAD