- 5,285 viewsDuration: 2:28Shilingi bilioni 6.73 zilitumika na Ikulu kama matumizi ya siri katika mwaka wa fedha wa 2025/2026, na hakuna maelezo kamili yaliyotolewa kuhusu pesa hizo zilitumika kwa shughuli gani. Ripoti hiyo pia inaonyesha kuwa hazina ya kitaifa ilitumia shilingi bilioni 12.6 katika operesheni za usalama, kiasi ambacho ni zaidi ya fedha zilizotumiwa na idara ya Polisi ambayo ilitumia shillingi billioni 11.39