Skip to main content
Skip to main content

Inspecta Jenerali Douglas Kanja aahidi kuwakamata wote waliohusika katika uvamizi wa All Saints

  • | Citizen TV
    4,554 views
    Duration: 3:27
    Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja amesema kuwa Idara ya Polisi haitasita kumkamata mwanasiasa au hata afisa wa polisi atakayehusishwa na uvamizi wa hivi majuzi wa wahuni katika All Saints' Cathedral Nairobi. Kanja amesema uchunguzi wa tukio hilo unaendelea huku pia akionya wanaojihusisha na magenge hayo ya wahuni. Haya yanajiri huku mshukiwa wa nne wa uvamizi huo wa Ijumaa iliyopita akifikishwa mahakamani na kuzuiliwa kwa siku saba zaidi ili kutoa nafasi kwa uchunguzi kukamilika.