- 3,197 viewsDuration: 3:01Inspekta mkuu wa polisi Douglas Kanja amekabiliwa na wakati mgumu kujibu maswali ya wanachama wa kamati ya usalama katika bunge la seneti mapema leo. maseneta wakiwaskuma ukutani wakuu wa usalama wa taifa kuelezea mashambulizi ya kisiasa dhidi ya viongozi ikiwemo tukio la kushambuliwa kwa seneta wa Vihiga Godfrey Osotsi na ufyatulianaji risasi wa mwezi wa pili mwaka huu wakati wa kampeni za uchaguzi ndogo za Isiolo zilizoongozwa na seneta wa Isiolo Fatuma Dullo.