Skip to main content
Skip to main content

Inspekta Mkuu wa Polisi Douglas Kanja asema wahuni watakaokamatwa watakabiliwa na sheria kibinafsi

  • | Citizen TV
    5,755 views
    Duration: 6:43
    Inspekta Mkuu wa Polisi Douglas Kanja amesema kila mhuni atakayetiwa mbaroni atakabiliwa na sheria kama mtu binafsi. Kanja aliyasema hayo jijini Nairobi wakati wa ufunguzi wa Kituo cha Polisi cha Kiamumbi.