- 831 viewsDuration: 1:13Katibu Mkuu wa Wizara ya Kazi na Ulinzi wa Jamii, Motari, amesema salio la mwezi mmoja la mpango wa Inua Jamii litatolewa katikati ya mwezi huu. Motari amesema kufungwa kwa mwaka wa kifedha ndiko kulikochelewesha malipo hayo.