- 4,438 viewsDuration: 3:14Mahakama Kuu imeendelea kuelezewa safari ya mwisho ya mwalimu na mwanablogu Albert Ojwang kupitia picha za CCTV, huku kiongozi wa uchunguzi wa IPOA akieleza jinsi gari la polisi lilivyompeleka Hospitali ya Mbagathi na kuchukua dakika kadhaa kabla ya kumpeleka katika kitengo cha dharura. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya