Skip to main content
Skip to main content

IPOA yakiri ukosefu wa ushahidi katika kesi ya mauaji ya Rex Maasai

  • | Citizen TV
    2,494 views
    Duration: 2:46
    Mamlaka ya kusimamia utendakazi wa maafisa wa Polisi IPOA imekiri mahakamani kwamba haina ushahidi wa kutosha dhidi ya mshukiwa mkuu wa mauaji ya Rex Maasai wakati wa maandamano dhidi ya serikali mwaka wa 2024. Mawakili wanaowakilisha Idara ya Polisi wakiishutumu IPOA kwa kupuuza ushahidi wa maana kama vile Kanda za CCTV kutoka majumba tofauti kutambua matukio yaliyosababisha kifo cha Rex Masai.