24 Jul 2026 7:38 pm | Citizen TV 8,529 views Duration: 46s Baada ya Suitafahamu ya muda kuhusu chama atakachotetea kiti chake cha ugavana kaunti ya Murang’a, Gavana Irungu Kang’ata hatimaye ametangaza kujiunga na Chama Cha DCP, akisema atakitumia kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.