Skip to main content
Skip to main content

Israel yaiondoa Kenya kwenye vikwazo vya Ebola

  • | Citizen TV
    6,223 views
    Duration: 2:38
    Israel imeiondoa Kenya kwenye orodha ya mataifa yaliyowekewa vikwazo vya muda kuingia nchini humo kutokana na hofu ya ugonjwa wa Ebola. Tangazo hilo limetolewa saa chache baada ya Katibu wa Wizara ya mambo ya kigeni Korir Sing’oei, kupinga hatua ya kuiweka Kenya kwenye orodha hiyo. Haya yakijiri huku visa 72 vya maambukizi ya Ebola vikinakiliwa nchini DRC kwa siku moja.