Skip to main content
Skip to main content

Jaji mkuu Martha Koome ataka ufadhili zaidi wa mifumo mbadala ya haki

  • | Citizen TV
    279 views
    Duration: 2:09
    Idara ya mahakama yaitaka serikali kuongeza ufadhili kwa mifumo ya haki mbadala , huku jaji mkuu Martha Koome aonya kuwa ukosefu wa fedha za kutosha ndiyo changamoto kubwa ya haki kwa wananchi.