- 403 viewsDuration: 1:57Jaji Mkuu Martha Koome leo amefika kaunti ya Kisii kwa shughuli ya uzinduzi wa mfumo mbadala wa kutafuta haki katika vituo mbalimbali vya mahakama kaunti ya Kisii. Koome vile vile ameandaa kikao na wadau mbalimbali wa mahakama ikiwemo viongozi wa muungano wa mawakili nchini LSK.