Skip to main content
Skip to main content

Jaji Muchelule aandikisha taarifa kuhusu bastola iliyopotea

  • | Citizen TV
    3,843 views
    Duration: 3:04
    Jaji wa Mahakama ya Rufaa Aggrey Muchelule ni miongoni mwa zaidi ya watu watano walioandikisha taarifa kuhusu kutoweka kwa bastola yake, ambayo baadaye ilipatikana ikiwa na mshukiwa wa ujambazi aliyeuawa. Jaji Muchelule aliwaeleza polisi kuwa mara ya mwisho aliona bastola hiyo ilikuwa mwezi Oktoba mwaka jana.