Skip to main content
Skip to main content

Jambojet kuwatafuta abiria 23 na wahudumu wanne

  • | Citizen TV
    6,429 views
    Duration: 44s
    Shirika la ndege la Jambojet limesema litashirikiana na Wizara ya Afya kuwatafuta abiria 23 na wahudumu wanne wa ndege iliyombeba mgonjwa wa Ebola aliyeaga dunia. Hatua hiyo inalenga kusaidia juhudi za kufuatilia watu walioweza kuwa katika mawasiliano na marehemu wakati wa safari hiyo.