24 Jul 2026 12:27 pm | Citizen TV 326 views Duration: 1:42 Jamii na wazazi katika kaunti ya Busia wahimizwa kukumbatia elimu ya vyuo vya masomo anuai ili kuwezesha wanafunzi kupata ujuzi kwa muda mfupi na kwa gharama ya chini ili kutatua tatizo la ukosefu wa ajira.