Skip to main content
Skip to main content

Jamii ya Abkey Warfay yamteua tena Mbunge wa Lafey Mohamed Abdikheir

  • | Citizen TV
    2,896 views
    Duration: 2:06
    Jamii ya Abkey Warfay, kutoka jamii ya Murule Weytan katika Kaunti ya Mandera, imemtawaza rasmi Mbunge wa Lafey, Mohamed Abdikheir, kuwa chaguo lao kwa mara ya pili katika uchaguzi mkuu wa 2027.