24 Aug 2026 1:33 pm | Citizen TV 1,102 views Duration: 1:24 Viongozi kutoka jamii ya Aulihan wamepuuza mfumo wa demokrasia ya maelewano unaotumiwa katika baadhi ya maeneo, wakisema dhana hiyo inawanyima wananchi haki ya kufanya maamuzi yao wenyewe.