Skip to main content
Skip to main content

Jamii ya Banyamulenge kutoka DRC yaandamana Nairobi

  • | Citizen TV
    8,447 views
    Duration: 2:05
    Jamii ya Banyamulenge, wa Kabila la Watutsi wanaoishi Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, imeonya kuhusu hali mbaya inayozidi kuhatarisha maisha yao nchini humo kutokana na vita vinavyoendelea. Wakiandamana hapa jijini Nairobi, viongozi wa jamii hiyo walitoa wito wa hatua za haraka kuchukuliwa na jumuiya ya kimataifa ili kudhibiti mateso ja jamii hiyo nchini DRC, na kuwarejesha kwao waliotoroka mapigano.