Skip to main content
Skip to main content

Jamii ya Iteso yawataka wanasiasa kuhubiri amani

  • | Citizen TV
    478 views
    Duration: 2:13
    Jamii ya Iteso imewataka wanasiasa kuhubiri amani, umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi. Wito huo umetolewa wakati wa sherehe ya kitamaduni iliyofanyika Emormor, Kaunti ya Busia.