Skip to main content
Skip to main content

Jamii ya Kullow Maalim yaunga mkono weytan kugombea tena Mandera mashariki

  • | Citizen TV
    605 views
    Duration: 2:00
    Viongozi kutoka jamii ndogo ya Kullow Maalim ndani ya ukoo wa Weytan Jidle kutoka mandera mashariki wamemuunga mkono mbuge wa eneo hilo hussein Weytan Mohamed kuwania tena nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu ujao. Kulingana nao, mbunge huyo amefaulu kutatua tatizo la utovu wa usalama na migogoro katika jamii tofauti .