17 Aug 2026 10:42 am | Citizen TV 200 views Duration: 2:04 Jamii ya Magadi katika kaunti ya Kajiado inataka kushirikishwa kikamilifu katika mazungumzo yanayoendelea kati ya serikali kuu, serikali ya kaunti na kampuni ya Magadi Tata chemicals.