Skip to main content
Skip to main content

Jamii ya Makonde yalalamikia changamoto za kupata vitambulisho

  • | Citizen TV
    669 views
    Duration: 3:57
    Licha ya kupata uraia wa Kenya mwaka 2017 na wengi wao kukabidhiwa vitambulisho vya kitaifa, baadhi ya wanachama wa Makonde Community wanasema bado wanakabiliwa na changamoto za kupata vitambulisho.