Skip to main content
Skip to main content

Jamii ya Ogaden yaahidi kudumisha amani kuelekea uchaguzi

  • | Citizen TV
    1,095 views
    Duration: 1:22
    Jamii ya Ogaden imeahidi kudumisha amani na utulivu tunapoelekea katika uchaguzi. Wanajamii wamewahimiza wananchi kushirikiana, kuheshimiana na kuepuka vitendo vinavyoweza kuvuruga amani wakati wa kipindi cha uchaguzi.