Skip to main content
Skip to main content

Jamii ya Ogiek katika kaunti ya Nandi yaanzisha baraza la kitaifa la wazee la Ogiek Myoot

  • | Citizen TV
    1,697 views
    Duration: 2:45
    Jamii ya Ogiek imepata matumaini mapya ya kuimarisha umoja, utambulisho na uwakilishi wake, baada ya kuanzishwa kwa Baraza la Kitaifa la Wazee la Ogiek Myoot. Daniel korir anaarifu zaidi kutoka Nandi