8 Oct 2026 10:25 am | Citizen TV 620 views Duration: 1:32 Jamii ya Ogiek kutoka kaunti ya Uasin Gishu na Nandi,wanaiomba serikali kutekeleza uamuzi wa mahakama ya Arusha wa 2017 ulioamuru kurejea katika ardhi yao ya asili msitu wa Mau kando na kupendekeza fidia kwa waathiriwa.