Skip to main content
Skip to main content

Jamii ya wafugaji Pokot magharibi yataka muda usajili wa wapigakura uongezwe

  • | Citizen TV
    171 views
    Duration: 2:15
    Jamii ya wafugaji kutoka kaunti ya pokot magharibi inaitaka tume ya uchaguzi IEBC kuiongezea muda wa usajili wa wapiga kura kwani wengi wao walikuwa nchini Uganda wakitafuta malisho ya mifugo, hali iliyowafanya kukosa nafasi ya kushiriki zoezi hilo muhimu.