- 324 viewsDuration: 2:07Jamii ya Wapokomo katika Kaunti ya Tana River, imemtawaza rasmi kiongozi wao wa kitamaduni katika sherehe iliyohudhuriwa na wazee wa jamii, viongozi pamoja na wananchi huku wito wa amani wakati wa uchaguzi ujao ukitiliwa mkazo.