Skip to main content
Skip to main content

Jamii za maziwa ya baringo na Bogoria zahifadhi mbegu za kiasili

  • | Citizen TV
    343 views
    Duration: 2:01
    Jamii ziishizo kando ya maziwa Baringo na Bogoria zaanza kutegemea hifadhi za mbegu za kijamii za asili na kuimarisha uzalishaji wa chakula huku maji ya ziwa iendeleayo kuongezeka yakiharibu mashamba.