Skip to main content
Skip to main content

Jamii za mpakani mwa Kenya-Somalia zahimizwa kuishi kwa amani

  • | Citizen TV
    1,788 views
    Duration: 1:37
    Jamii zinazoishi mpakani mwa Kenya na Somalia, katika maeneo ya Kiunga na Ras Kamboni, zatakiwa kudumisha amani na kujenga uhusiano mwema ili kupambana na visa vya uhalifu.